Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 827
- 136
hahahahaha Fat Arse wanasubiria kama fisi anavyosubiri mkono udondoke! Wanaishi kwa mataumaini. BTW, sehemu ya thanks ipo chini ya "stats/profile"
Mkuu Masanilo a.k.a mzee wa Chelsea, vipi Premier league mtachukuwa?......by the way, za siku mkuu?RVP akiwa fit naye yuko juu!
Mkuu Masanilo a.k.a mzee wa Chelsea, vipi Premier league mtachukuwa?......by the way, za siku mkuu?
van persie yupo mkuu na chamakh anakuja summer lol.Ni goli zuri sana lile.....Nawakubali sana Drogba,Wayne Rooney na Fernando Torres...Arsenal tunahitaji striker wa aina ya hawa
van persie yupo mkuu na chamakh anakuja summer lol.
dogo tayari wana pre-contract yule si unaona liverpool walienda kuongeza dau dogo kawatosa.Si mpaka aje...AW hatabiriki mkuu,anabadilika kama Kinyonga..baadae utamsikia anasema hakuna haja ya kununua wachezaji...hahaaaaaaaaaaaa
dogo tayari wana pre-contract yule si unaona liverpool walienda kuongeza dau dogo kawatosa.
van persie yupo mkuu na chamakh anakuja summer lol.
Si mpaka aje...AW hatabiriki mkuu,anabadilika kama Kinyonga..baadae utamsikia anasema hakuna haja ya kununua wachezaji...hahaaaaaaaaaaaa
dogo tayari wana pre-contract yule si unaona liverpool walienda kuongeza dau dogo kawatosa.
Huyo Chamakh ni wa bure (contract yake inaisha summer) ndio maana Wenger lazima atoe macho....kwa vya bure Mr. Bean hajambo.
Yaani katika siku amabto nilifuraji JF kutokuwa hewani ni baada ya mechi ya Barca lol
market hilivyokuwa chafu lazima kidogo ushukuru kuwa na mchumi kama WENGER.hatuna hela ya kushindana na man city kwahio lazima vyenye nafuu tuvitolee macho.Huyo Chamakh ni wa bure (contract yake inaisha summer) ndio maana Wenger lazima atoe macho....kwa vya bure Mr. Bean hajambo.
Yaani katika siku amabto nilifuraji JF kutokuwa hewani ni baada ya mechi ya Barca lol
Duuuh.........mpaka Babu Wenger kakiri mwenyewe kuwa muziki ule ulikuwa mzito.............dah yule mtoto Messi ni balaa...........
Fat Arse nal wabovu tu.......kufungwa goli 4 tena na mchezaji mmoja ni udhaifu wa walinzi!