Mkuu Sturridge alipowapiga cha 4 nikakukumbuka, nikahisi the way unavyopata maumivu ya moyo ila tu huwa huoneshi, nikakuhurumia sana. Mkuu hamna timu msimu huu. Pole sana
Ahsante sana Mkuu. Uzuri unaweza kusimamisha upenzi (si kuhama timu kama yule Ngongo) hadi hali itengamae kwa kupata kocha labda na owners wasiotaka cheap players na wenye ari kubwa ya kuleta makombe ya maana Emirates na si makombe mbuzi.
Bahati nzuri moyo na akili vimekufa ganzi kuhusu timu yangu pamoja na kuwa niliangalia mechi kwa kipindi kirefu tu. Maumivu hayapo tena Mkuu maana ukishazoea vipigo hakuna jipya tena, unaingia uwanjani ukijiuliza sijui leo tutapigwa ngapi? Ahsante sana Mkuu.
Mkuu Sturridge alipowapiga cha 4 nikakukumbuka, nikahisi the way unavyopata maumivu ya moyo ila tu huwa huoneshi, nikakuhurumia sana. Mkuu hamna timu msimu huu. Pole sana