McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Arsenal inatakuwa timu ya nne au ya tano mwisho wa ligi. Lakini haiwezi kushinda ligi. Manchester City, Manchester United and Tottenham are better team than Arsenal. Haya ni maoni yangu. Sababu: Their defence is not as good as other top teams.
Hiyo defence mbovu ya Arsenal umeiona kwenye game gani mkuu..?
Mkuu Arsenal 4 - 3 leicester . Timu nzuri kufunga magori lakini wanatakiwa wasifungwe magori matatu wakicheza nyumbani.
Backline walikuwepo Holding,Monreal na Kolasinac kama unaijua backline ya Arsenal utagundua kuna wahuni wenyewe hawakuwepo na sub alitolewa Holding alafu akarudi Ox hapo lazima uone kwa nini beki iliruhusu makosa.
Hiyo tweet aliitweet na kufuta kisha akaipost tena baada ya kuondoa location.PSG wamefika 80..?mimi naamini ni wakati wa kumuacha uyu Alexis asepe tu hakuna haja ya kukimbizana nae tena,leo sijapita twitter kule ngoja nikaone maoni ya viona mbali.
Are u arsenal Foe real? U set ur targeys for ur lovely team too low.Arsenal inatakuwa timu ya nne au ya tano mwisho wa ligi. Lakini haiwezi kushinda ligi. Manchester City, Manchester United and Tottenham are better team than Arsenal. Haya ni maoni yangu. Sababu: Their defence is not as good as other top teams.
Huyu Manyua tu hakuna namnaHiyo defence mbovu ya Arsenal umeiona kwenye game gani mkuu..?
Alikuwa anapima vifaa na bado akashinda. Mustafi, Laurent, Kolasnac, Bellerin foward gani atavuka hapo sub awepo paulista na monreal, holding. Acheni mzaha arsenal nyuma wako vizuri mbele nako kwa moto. Man mwaka huu ajiandae mvua ya barafu.Backline walikuwepo Holding,Monreal na Kolasinac kama unaijua backline ya Arsenal utagundua kuna wahuni wenyewe hawakuwepo na sub alitolewa Holding alafu akarudi Ox hapo lazima uone kwa nini beki iliruhusu makosa.
Manyua jana wametutumia salamu ya 4. Wacha tutafute weekend ijayo tuwajibu lwa mkono au sita kabisa.Alikuwa anapima vifaa na bado akashinda. Mustafi, Laurent, Kolasnac, Bellerin foward gani atavuka hapo sub awepo paulista na monreal, holding. Acheni mzaha arsenal nyuma wako vizuri mbele nako kwa moto. Man mwaka huu ajiandae mvua ya barafu.
Kule Sanchez kule ozil hapa mbele lacazete kati xchaka na quoqueline viungo wa kukaba mwanzo mwisho. Sijui chambalain akae wapi .Daaah hatari tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Are u arsenal Foe real? U set ur targeys for ur lovely team too low.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo defence mbovu ya Arsenal umeiona kwenye game gani mkuu..?
That great Arsenal has long been passed. Even Manyua i used to hate is long been gone. Football is not the same anymore. Money have polluted our game. Players envy more money than the beauty of it.I am not arsenal fan, but i like to watch good football. I have seen great arsenal teams with Bergkamp, overmars, henry
Game iliyopita against Leicester. Kama unacheza nyumbani you should never concede three goals.
That great Arsenal has long been passed. Even Manyua i used to hate is long been gone. Football is not the same anymore. Money have polluted our game. Players envy more money than the beauty of it.
We wl never see that football again
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Pamoja na kushinda nne ..lakini hamko hata top 4
Kweli nmeamini arsenal ni sikio la kufa.
Mkuu, hii thread sio ya mizaha ya kitoto. Sisi wanazi wa AFC tunaiheshimu, acha kuleta utoto, chambua soka tutakuelewa.Pamoja na kushinda nne ..lakini hamko hata top 4
Kweli nmeamini arsenal ni sikio la kufa.