Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wana mpira gan hao liva kuku?Safi sana kwa kupena moyo, ndiyo timu yetu, through thick and thin, ngoja niwatazame LiverpoolFC Napenda mpira wao..
OkMkuu kuna special thread humu kwa mashabiki wa gunnerz tangu 2006.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtakuwa na Threads ngapi? Au huu ni wa wenger Out na ule wa long time wenye fans kibao ndio Arsenal damu
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaSasa mtakuwa na Threads ngapi? Au huu ni wa wenger Out na ule wa long time wenye fans kibao ndio Arsenal damu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli lakin nimeonelea kama wataongezwa hao watu na akapatikana beki wa kati namba nne na tano mambo yatakua fresh bila chenga.
Profesa wa uchumi si unamjua lakini.....anaweza kuongeza lkn ni wale kama mafungu ya nyanya sokoni wasio na viwango....Ni kweli lakin nimeonelea kama wataongezwa hao watu na akapatikana beki wa kati namba nne na tano mambo yatakua fresh bila chenga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera unahitaji tuzo ya nobelimm ntaipenda arsenali atakama ikishuka daraja bado ntaishabikia tuu
Hii tweet ni ishara kuwa ameenda kufanya majadiliano na PSG?
Babu akiulizwa anatujibu hauuzwi. Ila binafsi kwa ambae miezi 12 ijayo anakuwa huru 80 ni nyingi sana kuikataa
View attachment 564855
Sent using Jamii Forums mobile app