Rob Holding ameshindwa kuendana na kasi ya mchezo na Lei wanatumia upande wake kama uchochoro wa kutuadhibu,squad iko poa naona mapungufu sio ya kutisha our new players(Lacazzete na Kolasiniac) wameleta uhai sana wote wameonyesha kuna kitu watatusaidia.