Hahahaha🙂🙂😉😉Bayern Munich kasikia kuwa Arsenal hatakuwepo Uefa msimu huu,imebidi amtafute kwenye pre-season wamalizane kabisa mapema tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya sema sasa, mara zote tunakuwa 10-men, leo 11 kwa 11 wamepata cha mtema kuni, kama Barcelona tu hawa, 11 kwa 11 hawatuwezi kabisaBayern Munich kasikia kuwa Arsenal hatakuwepo Uefa msimu huu,imebidi amtafute kwenye pre-season wamalizane kabisa mapema tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bayern Munich kasikia kuwa Arsenal hatakuwepo Uefa msimu huu,imebidi amtafute kwenye pre-season wamalizane kabisa mapema tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani wakati KING MESSI anaingia nyavuni mara 4 mlikuwa pungufu?
Mmecheza na kikosi cha pili la sivyo mngepewa kama sio goli 8 bilaNadhani ulikua unawazungumzia Bayern ila Iwobi amewatuliza umehamia kwa Messi [emoji23][emoji23][emoji23],burudani ya hili jukwaa hata ukija na shombo mara nyingi unakaushiwa tu nashukuru umejibiwa kwa vitendo,tafuteni maneno mengine.
Lakazete mechi tatu goli 1[emoji16]
Hivi lacateze mechi tatu ana goli ngapi vile au bado mnamtaka na yule kinda wa monaco
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji23] [emoji23]Nimekuuliza hapo juu,alitakiwa awe na goli ngapi?
Napata mashaka kama kweli viroba vimepigwa marufuku...[emoji23][emoji23]
Safi kabisa mkuu
Hii ndiyo reality, hii mechi afadhali tufungwe, babu ajuwe squad hamna kitu pale..HT
Arsenal 0-2 Chelshit