RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,315
- 134,769
Arsene ana shares % ngapi Arsenal?Yaani nawalaumu waliomruhusu kuwa na hisa kwenye timu!!!
Arsene ana shares % ngapi Arsenal?Yaani nawalaumu waliomruhusu kuwa na hisa kwenye timu!!!
Hana share jamani huyo babu tatizo ni wale wenye maamuzi ndio wanamkubali sana angalia financial status ya club so far jamaa yupo vizuri; wengi huwa wanadanganywa kuwa Wenger ana share lakini si kweli! Jaribu kupitia tovuti zao uone nani wanamiliki share paleArsene ana shares % ngapi Arsenal?
Mkuu,Una akili mingi sana mkuu.
Kombe ni kombe tu.
Kwanza watu hawajui hata hiyo EPL imezaliwa FA.
![]()
Umetisha!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jana kama hujampiga mtu sijui!Acha tu nikupe hongera.!
Mungu akubariki sana wewe mtu. Uwe unaniambia tutashinda basi ktk mechi zote zijazo? [emoji23][emoji23][emoji23]Nifah nilikuambia leo tunashinda
😀😀😀 Bayern wanatafuta ugomvi. Is there a way please [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
[emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji81] [emoji115] [emoji115]Mungu akubariki sana wewe mtu. Uwe unaniambia tutashinda basi ktk mechi zote zijazo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sio tweeter handler yao. Wamefoji. Ukienda kwenye kurasa yao hii ya ya kidutch. inayopost habari za kiingereza haipo ina neno eng mwishoniMartin Tyler "A trophy is a trophy better than walking off trophyless with a donkey face "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
. Is there a way please [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Arsenal Wenger agree two year deal to stay as Arsenal manager.. mnaye huyo.....