Pigaaaaaaaa warudi nafasi yaoPiga hao wapuga kelele wa kijinin man chester
Mtu kakaa mbili sijui mtaamkaje kesho na dharau zenu hizo.


all in all thanks lads for 3 pts.Hongera BAK mmepunguza machunguAhsante sana Mkuu. Haya mambo ukimwambia mtu ambaye haelewi mambo ya upenzi wa michezo anakushangaa sana. Utasikia, "Sasa si uhamie Chelsea tu, kila siku timu yenyewe inafungwa fungwa tu lakini bado unaishabikia" lol! hahahahahahaha
Hongera BAK mmepunguza machungu
Sanchez and Ramseykazi nzuri vijana
Mchezaji gani leo kwako amekuwa (man of the match)
![]()
Xhaka ndio anastahili, leo kacheza vizurikazi nzuri vijana
Mchezaji gani leo kwako amekuwa (man of the match)
![]()