Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Dele Alli out Sissoko in
kwakweli, ila waje tuwafariji. hatuwezi kuwacheka leo mana sie wenyewe tumechemka.Ndo hivyo inabidi tuwe nao tu
Hawa mashabiki wamenikera sana, wamefanya nisione ARSENAL FAN TV


wamenikera sana wapuuzi hawa, nilikua nimeandaa popcorns tayari na bando langu la kutosha.Nimeona Robbie akisindikizwa na polisi![]()
Watakuumiza hawa waache tu. Wanajijua wenyewe n.a. Wenger waowamenikera sana wapuuzi hawa, nilikua nimeandaa popcorns tayari na bando langu la kutosha.