Arsenal (The Gunners) | Special Thread

90min West Brom 3- 1 Gunners

Too bad, hawa washabiki koko wanawapa hata waamuzi kazi rahisi and then you cannot play like that. Prof tangu alipoanza kununua English players jahazi linazama. Walikuwa wanamlaumu anaweka 11 foreign payers. What next!
 
Khe khe khe kheeee hii kisingizio ya leo ni mpya aisee. Okay....

Ila leo sikutaka mfungwe sasa ona kesho man6 anaaicha nafasi yake pendwa
 
90min West Brom 3- 1 Gunners

Too bad, hawa washabiki koko wanawapa hata waamuzi kazi rahisi and then you cannot play like that. Prof tangu alipoanza kununua English players jahazi linazama. Walikuwa wanamlaumu anaweka 11 foreign payers. What next!
 
Kwa mwendo huu karibia mtafikia Mwamba wa mafuta,mnashuka kwa kasi sana wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…