OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Mtamkumbuka sana Wenger siku atakapo ondoka. Nakwambia aseno ilipo ni kwa sababu ya Wenger. Akiondoka tu timu yote itashuka daraja ..pengine mpaka la tatu uko. ...bisheni
Yes but he must go
What a save...thanks Peter.
Enough is enough aibu tuliyopata ya kutolewa 10 - 2 inatosha mkuuNaamini anatakiwa abakie,Arsenal inamuhitaji AW kuliko yeye anavyoihitaji hii Arsenal,tusubiri muda utaongea maana ipo siku ataondoka.
Prof haendi kokote Kronke aliponunua Gunners share 1 ilikuwa iauzwa kwa takribani £8000.00 sasa hivi share 1 ni £15,000.00Naamini anatakiwa abakie,Arsenal inamuhitaji AW kuliko yeye anavyoihitaji hii Arsenal,tusubiri muda utaongea maana ipo siku ataondoka.
Mhhh aisee...bila Sanchez hii timu ni kimeoooo