Kama kawaida yake Wenger anatetea kibarua chake vizuri
Mimi napenda aendelee kubaki tuendelee kufurahiAkipigwa lazima mpige kelele na akishinda pia mnapiga kelele heeeee heeeee waacheni Arsenal na AW wao maana kama leo Lincoln angeshinda pia ungejua kumnanga AW ishakua ni maisha yenu ya kawaida sasa.
Mimi napenda aendelee kubaki tuendelee kufurahi
Hawawezi jana wamefunga tano so kawanyamazisha kiainaSahivi no Wenger Out.
Bonge la kocha..
Kocha wapi banaSahivi no Wenger Out.
Bonge la kocha..
Fa semi final arsenal vs man city and spurs vs Chelsea
tufungwe tuTukitoboa kwa City basi mziki utahamia kwenye London Derby duh simply kwa yeyote atakaefika final safari hii tutashuhudia final ya 50/50.
hawezi akabakia emirates hana maelewano mazuri na mzee wenger ndiyo maana mpaka sasa kagoma kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia arsenal!Wakuu hv Sanchez atabak kweli msimu ujao?