BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Wasipomuondoa mwisho wa msimu basi wamiliki wa timu wakapimwe akili zao.
Msiogope kumuondoa Wenger
Ije idea mpya
Sisi tunaona progress,akileta tu beki mbili za maana kati na mido kabaji ya ukweli tuta challenge ubingwa

