Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tatizo la Arsenal leo ni kasi ya Liverpool inawafanya wapoteze sana mipira na kushindwa kujenga mashambulizi
 
Arsenal wanahaha kutafuta suluhu huko Liverpool ni kujihami na mashambulizi ya kushtukiza
 
Kisaikolojia Arsenal akifungwa hii kwenye Champions league wataathirika ni muhimu angalau wapate drooo
 
Back
Top Bottom