Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kiufupi tu kwamba arsenal umefika muda sasa tu forego hiyo champions league na turudi kutafuta heshima EPL kwa nguvu...tukisema tuendelee kuitolea macho hii michuano we have to expect the same story over and over!!

Kwa kikosi gani mlichonacho?
 
Ningekuwa manager wa Arsenal ningefukuza wachezaji wote na kumbakisha Sanchez tu.

Arsenal ya wakati huo ilikuwa na world class wengi tu ila sasa hivi ni wachezaji size ya Bolton.
 
Mistake gani kafanya kipa kwenye hilo goli la kwanza? Nionavyo mimi kosa kafanya Coqlin kumruhusu Robben aingie ndani na mguu wa kushoto wakati kila mtu anajua Robben huwa anataka na atafanya nini kutokea wing ya kulia.
Shida yake kipa avunjike mbavu Di Maria nae alifanya hivyo hivyo kwa barca kiukweli jana nyanda kafuta nyingi wangepewa zaidi ya wiki.
 
Poleni wakuu Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,Amen!
 
Faida kubwa moja wapo ya kushabikia Arsenal hauwezi kuwa heartbroken kwenye mahusiano hata siku moja... Yaani pale demu wako anapojaribu kukuumiza kihisia ni kama vile ana twanga maji kwenye kinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…