Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hii mechi haikuwa laini hats chembe
Wamepigwa kwa bao tata
Arsenal ana points 50Arsenal wanafungana na City point 49
Mkuu hesabu Manure points naona za Gunners huziwezi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeArsenal wanafungana na City point 49
Habari zinasema Mourinho anataka nafasi ya 4 kwenye ligi ili kulazimisha Wenger ajiuzulu.Hiyo ni dalili