MkoPoKa
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 600
- 393
Sawa namba 6![]()
sawa bingwa
Sawa namba 6![]()
sawa bingwa
Am happy for yesterday, game niliicheki nilishindwa tu kuungana nanyi live hapa wapendwa.
Kama sio yale makosa tuliyoyafanya ktk mechi zile 3 juzikati hapo huenda leo tungekuwa tunaongea mengine.
Sio case...will forever and always be a Gooner
[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]




Na nyie mpeni Henry maana imemchukua prof miaka 13 kuitoa timu nafasi ya 4 mpaka ya 2Namba 6 mfanye team apewe Giggs basi hakuna namna

Huu ni utani wa ngumi sasaNa nyie mpeni Henry maana imemchukua prof miaka 13 kuitoa timu nafasi ya 4 mpaka ya 2![]()
![]()

Huu ni utani wa ngumi sasa![]()
![]()
jamaa wakali kwelikweli mtu unaweza pigwa kweli.Huu ni utani wa ngumi sasa![]()
![]()
Ni kheri kaka mungu mwema, mi nipo ila muda mwingi nakua nje ya mji so network linakua tatizo,Swahiba mbona nyatunyatu sana tumepoteana hapa jukwaani na kwako siku hizi haukai,heri lakini.
Bora wewe mkuu,mimi almanusra nizimie.nilishikwa na pressure kubwa hatari pale waliposawazisha
Wewe Una fungal infection kwenye brain yakoMnasemagaa kuwa prof. Habebi vikombe mbona leo kabeba![]()
We bila shaka utakua shabiki wa Mwantesa United unatafuta pakutolea stress za mtaa wa SITA.Mnasemagaa kuwa prof. Habebi vikombe mbona leo kabeba![]()