Leo:
Manure ka-drop 2 pts
Livafools ka-drop 3 pt
Shit ka-drop 2 pts
Man city ka-drop 2 pts
Kesho ni muhimu kushinda hii game ila tusogee aiseeeee tuachane na utamaduni wa kupoteza kipindi ambacho wehu wanapoteza.
Kweli kabisa mkuu, hii hali huwa inawatokea Arsenal na huwa wanapoteza nafasi ya kupata points pale wengine wanapoteleza.
Ni matumaini ya wengi kwamba mechi mbili zijazo za Arsenal zinachezwa Emirates kabla ya kwenda Stamford Bridge mwezi ujao.

Possession haina maana bila kufunga