Sanchez kafunga maaLeo mabeki wametuokoa wamekaba wao, wamefunga wao
Wee jamaa kah..hivi kwa nini uko haiWTF.......wameongeza dakika 7 hapa ukinipima presha utashangaa kwa nini niko hai![]()
Msababisha penalt ni bekiSanchez kafunga maa
Wee jamaa kah..hivi kwa nini uko hai


ila leo hali yangu ilikua tete hawa Burnley hata mechi ya kwanza tuliwafunga dakika za nyongeza tena uyo Kos6 ndio aliwaua kama unakumbuka kutumbukiza kwa mikono.3 points muhimu sana hizi.
Tarehe 31 January 2017
Arsenal vs Watford
Liverpool Vs Chelsea
Tarehe 4 February
Chelsea vs Arsenal
Wameondoka wavuta bangi wawili(Flamini na Arteta) tumebaki na wahuni wawili(Xhaka na Coq) dakika yoyote wanachoma kibanda moto kheeeeee kheeeee Xhaka kachezea umeme mwenzie Coq kasababisha penati pamoja na wendawazimu nawapenda wachezaji wana namna hii.
Ila asikwambie mtu swahiba ushindi wa pressure namna hii ni mtamu kinoma...kuliko wa goli tano dk ya 20Napumua swahibaila leo hali yangu ilikua tete hawa Burnley hata mechi ya kwanza tuliwafunga dakika za nyongeza tena uyo Kos6 ndio aliwaua kama unakumbuka kutumbukiza kwa mikono.