Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

upload_2017-1-3_22-31-33.png


Arsenal's Francis Coquelin receives medical attention
after sustaining an injury


1483474995108_lc_galleryImage_Britain_Football_Soccer_A.JPG


Coquelin is substituted after sustaining an injury
as Arsenal boss Arsene Wenger (right) reflects
 
I must say I was impressed kea kweli. Ofcourse kama shabiki wa Chelsea nimehuzunika kidogo hata kwa hiyo point moja.

Bournemouth walijisahau. Ila lile goli la tatu mngelipata dk 80 ninaamini game wangeshinda. Walilala wakajisahau.

All in all hongereni, that was beautiful. Giroud was man of the match but the man for Arsenal is Sanchez...he was so consistent with going back, picking the ball, dribbling, giving that smart pass sema wapewa pass wenyewe ndo vimeo.

Maombi yenu yawe Sanchez aendelee kuwa fit mpaka mwisho wa league.

Cngrats once more and a happy new year to everyone.
Thank you Mentor
Happy New Year
 
Mie sikuwepo home hivyo nilikuwa nafuatilia kupitia simu. Donge limenishika na jinsi navyoijua timu yetu ndiyo nikajua tumeshalala, lakini sijui kwanini bado nilikuwa najipa matumaini kwamba bado kuna muda wa kutosha. Haka katimu kanakuja juu sana kanaanza kuwa tishio kwa timu kubwa. Hii kutoa draw baada ya kuwa nyuma 3-0 tena ugenini inaweza kuwa ni confidence booster ya hali ya juu sana katika hii ngwe ya pili ya msimu. Niliiangalia tena simu yangu ikiwa ni dakika ya 86 huku tukiwa nyuma 3-2 nikasema basi tena sikutaka kuangalia tena hadi 20 mins hivi na kubaki nikitabasamu na simu yangu. Pamoja na kupoteza 2 points lakini wamepigana kiume kuhakikisha angalau tunaambulia japo 1 point.

Mimi na kaka yangu Mauza uza tulishajikatia tamaa...
Nikamuambia tusife moyo bro,anything can happen.
Daaaaaamn at least tumelala na furaha kidogo kuliko tungefungwa.
 
3528.jpg

Olivier Giroud, second from left, heads in Arsenal’s injury-time equaliser to make it 3-3 at Bournemouth.
 
3000.jpg

Arsenal’s Olivier Giroud celebrates his equaliser with a scorpion kick
 
A weird result: Bournemouth probably would’ve taken the draw before the game but walk off dejected, while a point isn’t a huge amount of use to Arsenal but they depart the scene relieved.


4040.jpg

Dejection all round at the final whistle.
 
90 mins + 2: Xhaka curls a cross into the area, Giroud rises and gets a brilliant glancing header into the bottom corner. It might not have been as spectacular as the scorpion kick the other day, but it’s sure as hell more important.

3144.jpg

Arsenal’s Olivier Giroud heads the ball goalwards
 
3823.jpg

The header beats Artur Boruc and Arsenal are back on level terms
 
3396.jpg

Causing heartache for Nathan Ake and his Bournemouth team-mates
 
Bournemouth down to ten as Francis goes over the ball on Ramsey - there wasn’t a huge amount of contact, but that was a dangerous challenge. Big problems now for Bournemouth.

4425.jpg

Bournemouth’s Simon Francis is shown a red card by referee Michael Oliver.
 
Back
Top Bottom