Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Refa aliwazawadia goli la tatu kwa sababu Belerin alisukumwa ...... . hata hivyo si haba naona Mashabiki wa Manure wamekimbia aibu! Final score 3 - 3 Haters wote wamekimbia pamoja na matusi kazi kubwa. Ding ... Dong [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Duh tungeshinda ingeleta raha sana japo point moja kwenye ligi kama hii muhimu mno mno
 
Bounimouth wameniangusha sana, japo na refa nae kachangia, ile haikua red card kabisa
 
upload_2017-1-3_21-50-39.png


upload_2017-1-3_21-51-7.png



[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Endeleeni na dhihaka zenu, "man nafasi yake ya 6" soon mutapata majibu, kutoka difference point 10 hadi 2, tutaheshimiana soon
Dawa ya moto ni moto. Unapaswa kuhesabu ni timu ngapi ziko kwenye hiyo nafasi ya point man U inazozitafuta
 
Khe khe jhe jheeeeeeeeee...pamoja na internet kukatakata bado nimeshuhudia magoli mawili ndani ya dakika 20. Khe khe khe kheeee
Uliyaona ya Gunners khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa mwendo wenu na liver kuna mmoja atamwachia man u nafasi
Sisi tunaamini katika ubingwa hatuwafukuzi arsenal wala liver, hawa tunajua ni wasindikizaji tu, sisi tunamfocus alie kileleni
Pigia mstari hayo maneno yangu
 
Back
Top Bottom