Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

57min 3 up Bournemouth ...... Bellerin kasukumwa lakini walipewa penalty ndio hivyo tena ... .
 
Bournemouth wanatufundisha jinsi ya kucheza mpira leo simlpy we're outclassed.
 
Kuna namna nadhani nimegeuza tv yangu. Ngoja nikaangalizie kwa jirani mh.
 
57min 3 up Bournemouth ...... Bellerin kasukumwa lakini walipewa penalty ndio hivyo tena ... .
Leo Bellerin kawa uchochoro.. goli zote 3 zimepitia kwake... hata ile penalty mpaka inapatikana yeye ndio alikuwa na jukumu la kukaba kabla ya GX
 
Prof anaweka karata za mwisho hapa Lucas for Iwobi and Gabriel for Koscienly ...
 
69min Alexis gets a consolation 3 - 1
Recovery ya siku moja haikuwatosa wachezaji ........ tumeanza ngwe ya pili kama tulivyoanza EPL.
 
Back
Top Bottom