Mkuu endelea kutu-updates.Coquelin kaumia hapa ... .. out .. .. Ox in

Mkuu im waitin any updates from you.Wachezaji wapo slow sana, poor passing .... .... mpira dakika 90 ..... ... .. prof atafanya changes ... ..
DaaahPole jirani ila usikate tamaa mpira ni 90 minutes
Sasa unakoelekea sikokuna ugonjwa unaowapa arsenal, dec. fever! bado wana homa kali, huwa wanatamani kupakatwapakatwa
Tukishinda nitakuomba uedit hii kitu. Please
Vijana wako wamesahau kucheza kandanda, naona wanacheza ndombolo, ndombolo.Ngoja tuone kipindi hiki cha pili vijana watakuja vipi?