Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Yaani huko tunakoelekea watu tutabanana kama ndizi penye mgomba na huo ndio utakuwa utamu wa ligi kama Chelsea na tot matokeo yakiwa hivyo itaongeza ushindani .Shukrani sana Mkuu. Tuna mechi nyingine muhimu kesho. Chelsea wanakipiga tena Jumatano na Spurs kama Spurs wataweza kuwasimamisha Chelsea nasi kushinda kesho basi tutapunguza gap kutoka 9 points to 6 points.