Du tumeshinda ila hatuna raha maana timu yetu sasa majanga
Wapi wewe, wakati PSG yule kocha wao wa muda walionae kuna uwezekano akaondoka mwezi wa tatu... Na nguvu kubwa ya kumpata kocha mwingine wameishalekezea kwa wenger.Si ni mpaka aondoke ! sera yake ya kubana matumizi inaendana na matajiri zenu mtaendelea kumuona hapo mpaka aamue mwenyewe kuondoka
Hizi lugha za chooni uwe unafanya kuziweka kando kidogo pale unapokuwa unaiongelea Arsenal ebo..Arsenal haina tofauti na demu wa kilokole hahaha ..arsenal ni mojawapo ya vitu vnavyoniondolea stress hahaha
Basi itakuwa bora kwenu kama watamchukua ujue mwaka wa 12 huu mnanusa tu harufu ya kombeWapi wewe, wakati PSG yule kocha wao wa muda walionae kuna uwezekano akaondoka mwezi wa tatu... Na nguvu kubwa ya kumpata kocha mwingine wameishalekezea kwa wenger.
Apo man city mmemshikia tu nafas akee maana West brom anawatoa jasho na nko nyumba, bayern atawatoa damu kabisaa.Hizi lugha za chooni uwe unafanya kuziweka kando kidogo pale unapokuwa unaiongelea Arsenal ebo..
Haya umeona sasa three points zileee tayari na usiku huu man city anang'ang'aniwa anabaki pale pale

Hahaha kuwa mpolee ...Kuna kauli ukizisikia inabidi ujiulize mwenzetu alizaliwaje ni sawa kuna ku-troll ila tuheshimu imani za watu.
Hongereni kwa ushindi utakuwa umerudisha ari kwa vijana wenu![]()
Arsenal’s Olivier Giroud stabs the ball home to give the Gunners the lead. (Mhhh!)
Hahaha kuwa mpolee ...
Sawa brazaaaaaaaaMimi ni mpole sana chief ila nilikua nakuomba tu kwenye soka tuache kugusa imani za watu na lugha iwe ya burudani zaidi.
Achaa aendelee kuleta blah..blah na kiburi tu, hope psg watamuwahi kabla hajaongeza mkataba.