Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Hii ndoto ya Wenger awape kikombe cha EPL kama SAF itazidi kuwachelewesha akubali tu mbinu mbadala
Naskia PSG wanamtaka sana na wamemuhaidi donge nono sana.Hii ndoto ya Wenger awape kikombe cha EPL kama SAF itazidi kuwachelewesha akubali tu mbinu mbadala
Si ni mpaka aondoke ! sera yake ya kubana matumizi inaendana na matajiri zenu mtaendelea kumuona hapo mpaka aamue mwenyewe kuondokaNaskia PSG wanamtaka sana na wamemuhaidi donge nono sana.
Ebwana siku akiondoka huyu mzee nitafanya bonge la party japo najua tutayumba.
Naskia PSG wanamtaka sana na wamemuhaidi donge nono sana.
Ebwana siku akiondoka huyu mzee nitafanya bonge la party japo najua tutayumba.




Tumieni streaming
HamaaaHawa ndezi wa La Chaaz eti wanaonyesha game ya manure agggghrrr![]()
Naona hatimaye umebaki peke yako jukwaaniHawa ndezi wa La Chaaz eti wanaonyesha game ya manure agggghrrr![]()
Live Football Streaming - Live Football VideoNisogezee link chief maana nimejaribu kadhaa jau.
Sina namna ningehama naishia kucheki updates.Hamaaa
Kwani hawa ndezi wanaonyeshwa wako nafasi ya ngapi?Naona hatimaye umebaki peke yako jukwaani
Mmerudi nafasi ya 4 ndio maana hawaonyeshi game yenu
Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app


Arsenal haina tofauti na demu wa kilokole hahaha ..arsenal ni mojawapo ya vitu vnavyoniondolea stress hahaha