Wacha kujipendekeza pendeza timu yako mbovu subiri majuto mjukuu khe ke kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mechi yetu saa kumi njoouone magoli tutakayomzibua nayo Pepsi ... .... . he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Timu nzuri imefungwa khe khe khe kheeeeeeeee. Wacha 1 buana.
Full time man city 2 vs 1 Arsenal
full time Arsenal 1 vs 2 Evaton. Eti arsenal nao wanasema timu yao nzuri. Kheeeeeeeeeee wacha 1 upo.
Tumepoteza mechi ya leo, wachezaji wengi hawakuwa up to the game, City walikuwa more aggresive na kusaidiwa zaidi na mwamuzi. Tutawasubiri wakija Emirates. It wasn't a good game for us. [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
Naona ulikuwa unaangalia kwenye TV ya mbao ... .... khe kheeeeeeeeeeeeeee
agenda ilikuwepo ili kuwakumbatia mancs na refa leo kawapa zawadi same
na Everton a corner which was not a corner.
Usiwe na wasi wasi na Gunners tupo sawa . .. ......its a marathon
Mbona mnalialia sana na Gunners? Tupo sawa sawa kabisa nafahamu hii ni chuki yako baada ya kubamizwa 3 mtungi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Lazima kuna games tutapoteza na mojawapo ni hii.
Pamoja na kushindwa game ya leo timu yako bado inacheza kila Ali Hamisi khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee magoli yao yote mawili yana utata ... .... ..
Ndiyo matatizo ya kufunga kagoli kamoja na kuamua kukalinda wakati bado kuna muda chungu nzima badala ya kutafuta nafasi zaidi ya kuongeza goli/magoli mengine.
Tumepoteza mechi ya leo, wachezaji wengi hawakuwa up to the game, City walikuwa more aggresive na kusaidiwa zaidi na mwamuzi. Tutawasubiri wakija Emirates. It wasn't a good game for us. [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
Tumeshatinga kwenye nafasi ya nne kwa uzembe tu, kama hatukuwa makini tunaweza kabisa kuendelea kushuka na kujikuta kwenye nafasi ya sita au ya saba. πππ Wameshaharibu siku hawa.