Kama ambavyo huwa tunafurahia ushindi kwa pamoja,hata sasa tupo pamoja my fellow Gooners.
Kupoteza ni sehemu ya mchezo,kesho tutashinda...tutafurahia tena.
No matter what,I'll die a Gooner.
COYG
Kama ambavyo huwa tunafurahia ushindi kwa pamoja,hata sasa tupo pamoja my fellow Gooners.
Kupoteza ni sehemu ya mchezo,kesho tutashinda...tutafurahia tena.
No matter what,I'll die a Gooner.
COYG
Kweli kabisa Kaka, sijui kwa nini Wenger ameshindwa kulifanyia kazi hilo
Taizo lingine kwamWenger ni kubadirisha aina ya uchezaji, unajua Giroud ni mzuri wa mipira ya vichwa hivyo anahitaji cross, so kitendo cha yeye kuingizwa kilipaswa kwenda sambamba na kubadirisha aina ya uchezaji yaani Arsenal iliwapasa kutumia wing sana ili wawe wanapiga cross kwa Giroud, Wenger alifanya sub bila kuliangalia hilo
Leo sijamwona Wacha 1 akicheka khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee. Wacha 1 mpira wa uingereza hakuna anayejua wala mwenye hati miliki na ushindi. Kuna siku utafungwa, kuna siku utatoa draw na kuna siku utafunga. So hata sis blues kuna siku tutafungwa na kunasiku tutadraw. Viva chelsea leo tukishinda mnakuwa nyuma point 6 amabayo itakuwa ngumu kwenu kufika mwezi huu wa december.
Meanwhile poleni kwa kipigo kitakatifu kutoka kwa Eva.....!!!