YesArsenal leo hawakujiandaa na physical game ya Everton na Ozil nafikiri uliona jinsi alivyokuwa akifanyiwa na James McCarthy na hata wakawa "squared up" kabla ya mapumziko.
Pili, Arsenal huwa wanatatizwa sana na long ball tactics za timu kama Everton ambao siwalaumu kwa mbinu hiyo ila ni ya kizamani.
Kama Everton wangetandaza kabumbu kwenye kapeti basi habari ingekuwa ni nyingine.
Tusubiri mpira wa uhakika jumapili na Man City.
Yes
Realy Ozil ndio kinacho mcost mara nyingi asiwe kwenye vikosi vya dunia, he is good lakin when it gets physical ana jificha.
Leo nimegundua Sanchez ni bonge ya soldier anaweza kucheza popote. Imean mechi ya namna yoyte.
Walcott alikuwa ni kama hayupo so Baines akawa ana panda sana juu, Walcott amekuwa mcehzaji hewa leo.
Mnge hold hata droo, lakin kuna shda kwenye timu yenu may be ya kisaikolojia, then hamja fungwa mda mrefu it was okey kupoteza leo.
Mwisho kabisa jumapili na City hamshindi.

Mpira hauko hivyoPoleni washika bunduki, beki yenu inayumba hasa kwenye kujipanga , hivi inakuwaje wakati kona inapigwa wanashindwa kuweka beki hata mmoja kwenye nguzo?,
Everyon wamenusurika mwishomwisho na aliyewaokoa ni beki aliyekuwa kwenye nguzo
Ukabaji nao sio mzuri, kwani magoli yote ni free header, wakiendelea hivi watajajikuta wanarudi kwenye nafasi yao ya nne waliyoizoea
Kesho gap na Chelsea linakuwa point 6, maana Chelsea yenye wachezaji 15 kiwanjani wataichapa Sunderland sio chini ya bao tano
Yeah may bePossibilty kubwa ya draw ila city hatufungi, sioni back to back defeats especially kwa City
city anakupa uhuru wa kucheza, no bullying no long balls, wanaweka mpira chini we will see
Mkuu, umeongea vizuri ila umeharibu hapo mwisho.
Kuna kitu inaitwa hibernation na Arsenal wameamua kutumia njia hiyo wanapoona wapo 3 points ahead na Liverpool 4 points dhidi ya Man City na 7 points kwa Spurs.
Ila walipaswa kutoa draw.
Tusubiri jumapili naona wameruhusiwa kubakia north na wataenda Machester Alhamisi.
Kanuni ya AW hafungwi back to back gamesYeah may be
Sijajua rekodi yenu na city ikoje, ila inatakiwa muombe sana hilo gap la point 6 na chelsea lisiingie mwaka mpya, sasa sijui litazuiweje, a draw with city wont be bad, but a win mtakuwa mmejisamehe dhambi zote za leo
Kesho chelsea akishinda kwa kweli mlima wa kupandisha utakuwa mkubwa sana kwenu, muombeeni hata apate drooMpira hauko hivyo
Lately chelsea matokeo yake yameanza kuwa 1-0 , 1-0 kushinda 5-0 sio rahisi
Sunderland pia ni bogey team kwa chelsea na city
Kesho watakomaa hutaamini wanaweza kufungwa sio scoreline hiyo maximum ni goli 2
Kuna games kibao mpaka jan so kila timu itafungwa droo at point of timeKesho chelsea akishinda kwa kweli mrima wa kupandisha utakuwa mkubwa sana kwenu, muombeeni hata apate droo
Eeh, nawa angalia chelsea walivyo naona wakiwapita point 7 itabidi msubiri mechi.mbili tatu hapo ili wapoteze, na hiyo ni kazi kimpira hata mwaka jana Leceister waliwapotelea kwenye point 5 hivi, ogopa sana timu kama hiziKuna games kibao mpaka jan so kila timu itafungwa droo at point of time
Sema HONESTLY chelsea wako vizuri sana
Poleni washika bunduki, beki yenu inayumba hasa kwenye kujipanga , hivi inakuwaje wakati kona inapigwa wanashindwa kuweka beki hata mmoja kwenye nguzo?,
Everyon wamenusurika mwishomwisho na aliyewaokoa ni beki aliyekuwa kwenye nguzo
Ukabaji nao sio mzuri, kwani magoli yote ni free header, wakiendelea hivi watajajikuta wanarudi kwenye nafasi yao ya nne waliyoizoea
Kesho gap na Chelsea linakuwa point 6, maana Chelsea yenye wachezaji 15 kiwanjani wataichapa Sunderland sio chini ya bao tano
We si ndio ulisema hupitiagi majukwaa mengine, ukawa unadis watu wakija kule kwa maloserfool, umekumbwa na nini leo?Hongereni sana
Gabriel ana tatizo la kutokuruka kwenye mipira ya kona au krosiSisi ni wabovu sana kulinda goli kwenye mipira ya kona, hatujui kabisa kujipanga na hili ni tatizo kwa misimu mingi tu.
Gabriel ana tatizo la kutokuruka kwenye mipira ya kona au krosi
Tufanye drooRefa katunyima penalty mwishoni.