kushangazwa ni hali ya mtu ambae haujamtegemea akafanya jambo la kishujaa...............hao wengine una mategemeo nao so hawatakushangaza.Tunaweza kushangazwa na Chelsea, Liverpool, Man city na Spurs lakini sio MANURE!! sio kwa kocha yule!!
Hahahaa.. We noma..kushangazwa ni hali ya mtu ambae haujamtegemea akafanya jambo la kishujaa...............hao wengine una mategemeo nao so hawatakushangaza.
Hiyo inaitwa tough negotiationsHabari zilizozagaa kwenye magazeti leo Alexis Sanchez na Ozil wanataka kulipwa £290,000.00 kwa wiki kabla hawajaweka sahihi kwenye new contracts ..... ....... .. Habari za ndani kabisa Le prof kawaambia wachukue EPL na CL watalipwa huo mpunga ... .... ... Ding ... Dong.
wenger ni Mchumi pureHiyo inaitwa tough negotiations
Hiyo inaitwa tough negotiations
mi niko arsenal miaka yote BeloNaona umerudi baada ya November kuisha
Belo Bana naona umejaa leo kama pishi la udaga hata kabla kitale hakijaanza. Usiwe na shaka tukimaliza leo ndio tunakomalia EPL hadi February 2017, titaona chacha hizo mbio za wasiyoiona hata Ali Hamisi. BTW Wazee wa Ali Hamisi mnacheza na nani? Khe khe khe khe khekhekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNaona umerudi baada ya November kuisha