Hii ni mara ya kwanza baada ya miaka mingi kwa Arsenal kutumia nafasi ya timu zilizo juu ya msimamo wa ligi kujiongezea points.
Leo baada ya Man City kufungwa na Chelsea Arsenal walikuwa nyuma kwa 3 points na baada ya Chelsea kushinda Arsenal walikuwa nyuma kwa 6 points.
Sasa tutashika nafasi ya pili tukiwa na 31 points na mbele ya Tottenham ambao nao wameshinda leo na walikuwa nyuma kwa 1 point, kwa advantage ya 4 points.
Pia Arsenal imejipa advantage ya magoli mengi ya kufunga ikiwa mpaka sasa na magoli 19 mbele ya Liverpool yenye magoli 18.
Hivi ndivyo inavyotakiwa, well done Gunners.