Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Mchezaji wa kiungo mahiri wa West Ham United Dimitri Payet alie katikati.

Huku Santi Cazorla akitazamiwa kukaa bench kwa miezi mitatu kutokana na majeraha ya goti, Arsene Wenger anapanga kuwajaribu West Ham kwa kumsajili Dimitri Payet mwezi ujao dirisha la usajili litakapofunguliwa.

Santi Cazorla amekosekana sana pale katikati kwa pasi zake na vyumba na hilo tatizo linaonekana hata sasa wanapocheza na West ham na Arsenal wanashindwa kuongeza magoli licha ya kutawala mchezo huu.
 
West Ham wanafanya mabadiliko na Andre Ayew anaingia badala ya Fernandes.

Dakika inakwenda ya 62
 
Reactions: BAK
Arsenal nao wanafanya mabadiliko Aaron Ramsey anaingia badala ya Theo Walcott
 
Hii game bado ngumu jamaa wanacheza kwa determination, tukizembea wanaweza kusawazisha. Ni bora tufunge lingine ili kuwakata maini 20 minutes to go.

West Ham wanafanya mabadiliko na Andre Ayew anaingia badala ya Fernandes.

Dakika inakwenda ya 62
 
Hii game bado ngumu jamaa wanacheza kwa determination, tukizembea wanaweza kusawazisha. Ni bora tufunge lingine ili kuwakata maini 20 minutes to go.

Sancheeeeeeeez 2 -0 up

Excellent Goal, superb and clinical

Arsenal 2 West Ham United 0

It's a sucker punch!
 
Reactions: BAK


Arsene Wenger ni lazima akubaliane na madai ya maboresho ya mshahara ya Alexes Sanchez.

Huyu ndiye anaifanya Arsenal icheze kwa kujituma.
 
Reactions: BAK
Andy Carroll na Consolation.

Petr alidhani mpira unatoka lakini ni dakika 7 tu zimebakia.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…