Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Finishing 2nd, participating in this year UCL something Mourinho failed to achieve either last season koho koho koho koho koho
Hongereni kwa ku participate always...what do you have to show for it, fourthers!??
 
upload_2016-11-24_13-8-20.png

Prof akitoa Maelekezo jana kwenye mtanange ... ... .. .
What a game? Gunners bado hawajafika kwenye kiwango chao cha kawaida, Defence ilipwaya na mashambulizi hayakuwa fluid kama kawaida yetu. We are still on a good position kuwa kileleni na baada ya game ya mwisho tutaona mwakani tutapambana na timu ipi kwenye mtoano.

Out of 18 games tangu msimu alipoanza tumepoteza mechi moja tu, hivyo ni budi kujipanga na kuna how we move forward from here. Granit pamoja na Gab wanatakiwa kuwa kwenye timu na combination yao pamoja a OG lazima ibuniwe. Prof atakuwa analifanyia kazi hilo pale Colney hivi sasa.
COYG.

BTW nachikia wale wanaocheza kila Ali Hamisi ati na wao wanajifanya wamo!
 
Sorry mkuu Wacha1 na washabiki wote wa Arsenal lakini mimi sijaona ubora wa Granit mpaka sasa. Yani tofauti na alivyokuwa hyped.
 
Sorry mkuu Wacha1 na washabiki wote wa Arsenal lakini mimi sijaona ubora wa Granit mpaka sasa. Yani tofauti na alivyokuwa hyped.
Mkuu usiwe na shaka Granit ni moto wa kuotea mbali (this is from me who has seen him live) ..... .... ... pengine unamsikia tu endelea hivyo hivyo Le prof ana vifaa vya kujivunia time will tell ... ..... ... Ding ...Dong.

BTW marejesho si bado kwnye Cowshed? Baada ya kile kipondo cha Emirates? Ooops hivi nyie hta Ali Hamisi hamchezi? Kh khe khe khe keeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hahahah Belo ashakuambia heri FA kuliko FUTUHI.
 
hahahah Belo ashakuambia heri FA kuliko FUTUHI.

Hao Red cross team kwisha habari yao tinahesabu makocha tu chiku hizi khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, sasa hizi watamfungashi virago Mooreen khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee si walikuwa wanachema hawamtaki Moureen na akipata kibarua wangehama timu mbona bado wako gado? Nafsi zao zinawasuta phew!

BTW Red Cross team ni maarufu kwa kubadili makocha kama nguo khe khe khe khekhekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee watawaovertake very soon kwenye record yenu khe kheeeeeeeeeeeeee
 
Wakuu wa Gunners kesho updates kama kawa bada ya mechi kwa sababu ni lazima niukodolee mtanange kwa raha na mstarehe ..... ...... ...... ...... natumaini wale watakaokuwa wanauangalia kwenye box wataleta updates kama kawa. [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
upload_2016-11-26_18-39-18.png

Colney leo kwenye mazoezi ... ... ...

upload_2016-11-26_18-39-57.png

upload_2016-11-26_18-40-20.png

upload_2016-11-26_18-40-48.png

upload_2016-11-26_18-41-3.png

upload_2016-11-26_18-41-17.png

Alexis alikuwepo ..... ...

upload_2016-11-26_18-41-56.png

Theo .... ..

upload_2016-11-26_18-42-48.png

Ding ... Dong [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]

Back
Top Bottom