Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Sina matumaini ya ushindi leo.. PSG watamaliza on top...
Ni vizuri kujitambua, inapunguza disappointments!
Sina matumaini ya ushindi leo.. PSG watamaliza on top...
Cavani ni mmoja ya washambulaji wabovu sana,game ya kule Ufaransa alikosa magoli karibia manne ya wazi kabisa,leo sishangaiCavani sijui kahongwa half time...
Cavani sijui kahongwa half time...
Jamaa yupo yupo kiaina... Yale magoli 6 tuliyomgonga Ludogorets yanaweza kusaidia kumaliza on top endapo hatutafungwa dakika za mwisho leo.
Kweli kahongwa..alivyoteleza pale mwishoni duh!
Ni utaratibu mpya ?Sasa naamini November ni msimu nuksi kwetu. PSG wanaongoza group. Magoli 2 ya ugenini yanawapa nguvu. Hii system haipo sawa. Arsenal wana good Goal difference lakini wapo 2nd.
Ni utaratibu mpya ?
Nafikiri ni bora kushika nafasi ya pili then muombee msipangwe na Barcelona,kuliko kuongoza kundi then ukutane na Bayern,Real Madrid
Huyu mwenzenu UrbanGentleman alishajipiga ban kuingia hili jukwaa?I love arsenal
Bora kuchukua FA Cup kuliko Uropa Cup
Huo ni mtazamo wangu FA,EPL na Champions League ndio makombe ya maanaHahahaha nyie mna rationale za ajabu. Kesho utasema bora kubeba EFL kuliko FA Cup. Naona Mourinho anataka kumpa Zlatan mkataba mwingine next season. Dalili za hard times ahead kwenu.
Falcao hakuwa galasa msimu uliopita? Mourinho alimwaga £££ kumkopa toka Monaco?
At least he was daring, for the sake of the title. What can you show for your ubahili!??
Huo ni mtazamo wangu FA,EPL na Champions League ndio makombe ya maana