Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kituko

2300.jpg
 
Mkuu Gunners hawapo kwenye kiwango chao kabisa too slow, lakini kipindi cha pili AW atafanya changes kidogo tutaoana kama Manure wataweza kuishi na kasi yetu .... ..... .... . Ding ... Dong.
Kwa kiwango kikubwa sana Ramsey na Elney ndio wanao waangusha. Kunahitajika mabadiliko hapa
Good game so far,naona kuna muhimu wa Ramsey kupumzishwa kwa jinsi alivyocheza 1st half labda abadilike.
 
Inatia moyo possession 60% ila anao anao nyingi sana wanapoteza muda mwingi badala ya kushambulia goli kwa nguvu zote.

Kwa mnaouangalia mpira vipi parfomanc ya Arsenal ikoje...???
 
Nipo kibanda umiza hapa, kelele mtindo mmoja watu wa Manure wanataka penalt Yao, hata Sol Campbell simskii anasema nini!
Kaka nawe badala tungetafutana tuende sehemu classic kucheki game...
Aaarrrrggghhh
 
68min Man Utd 1 up Mta , Prof lazima afanye changes sasa .. .....
 
Kukosekana kwa Cazorla bado ni tatzo kwenye kiungo...Ramsey na Elnen wanapoozesha mechi bhuanaaa
 
Back
Top Bottom