Pole mwaya ufunge na selotepuMungu wangu,moyo wangu umepasuka![]()
![]()
![]()
Hunizidi mimi mkuu,dah!
Daaaah mambo yameshaanza kuharibika,nitakomaje?Nifah baada ya gemu nikuone pale man u thread
Mungu wangu,moyo wangu umepasuka![]()
![]()
![]()
Acha kabxa, moyo umechafuka tayari...Mungu wangu,moyo wangu umepasuka![]()
![]()
![]()
Ni bado mapema kukata tamaa...hebu tusubiri.Tushapigwa sasa!!!!!! Morigno atatamba sana!!!
Mungu wangu,moyo wangu umepasuka![]()
![]()
![]()
Haaa. Haaa. Haaa. Huku nimejikuta tu.Kaka nawe badala tungetafutana tuende sehemu classic kucheki game...
Aaarrrrggghhh
Ni bado mapema kukata tamaa...hebu tusubiri.
Huenda....
Nifah mamy kifuatacho twaweza pigwa la pili na wakapaki treniNi bado mapema kukata tamaa...hebu tusubiri.
Huenda....
Ucijali tunarudisha. But duuuuMungu wangu,moyo wangu umepasuka![]()
![]()
![]()
Moyo mashine mkuu...Kila sehemu tupo pamoja, ila huku umebugi asee,
Well saidHata draw itakuwa poa, lakini hii game tunastahili kushinda. We've a better team as compared to MANU, lakini mpira siku zote hudunda.
timu yenu lazma muwe na moyo mashineMoyo mashine mkuu...
