Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Hongera kwa kuwa na imani ya kuhamisha milima..
...Watu waajabu sana, mpira ni Sayansi wakuu, mpira ni akili! Man u kudundwa kwenu last year haina maana kila timu hapo itakwaa kisiki.....! Mpira haufuati associative au commutative property kny mahesabu......if A=B, and B=C, then A=C kwa maana kwamba kama Arsenal alifungwa na Man U na Man U alifungwa na Barca, iwe Arsenal lazima afungwe na Barca? sio hivyo wakuu........!Yes mechi itakuwa nzuri sana coz both teams play fantastic football......so tutaenjoy watching the two games kwa kweli!
Sio kweli Ngosha kuwa huwa sirudi hapa kutambua maiti. Unanionea tu..Ninachokupendea u mzuri sana wa ktuoa challenges kwa Gunners(hata kwa Porto uliongea hivihivi)....Naona unamuogopa sana Messi wewe....Mpira wa Barcas na wa Arsenal unalingana,wote twatumia akili,hatutumii miguvu kama Chelsiki na Manure...Halafu usimuunderestimate sana Sol aisee...Hata hivyo tuna matumaini kwamba William anaweza akapona kabla ya game ya kwanza ama akawepo game ya pili
NB. Ni vizuri ukawa unakuja hapa baada ya mechi na kuzsemea kauli zako hizi(maana zile za baada ya mechi ya Porto hukuzizungumzia kabisa mpaka tulipokukumbusha)...Pia uwe unatupongeza mkuu,badala aya kila siku kuwa unatupinga tuuuuuuu hata tukifanya vizuri
....dah, haya tena, masaa mawili na usheee yajayo Quarter final draw ya Champions League itawekwa mezani.
Natamani sana tuwapate Barcelona au Inter Milan!,...😀
Utabili wako umetimia tumewapata Barcelona,Man u wana mtelemko
Mbona mmepotea ghafla
Messi: Arsenal are like a South American team"...Arsenal are a team to consider because of their fantastic build-up play.
"They are like us at Barca in so many ways.
"Rather than being from London, they should be from South America. Andrei Arshavin and Cesc Fabregas are touch-players I love to watch."
Sio kweli Ngosha kuwa huwa sirudi hapa kutambua maiti. Unanionea tu..
Mpira wa Arsenal ungekuwa unalingana sidhani kama vikombe vingekauka katika makabati yenu kuanzia 2005. Nways nitarejea kuelezea eficiency ya Spanish inquisition baada ya tukio la mwisho mwa mwezi huu pale Imarati.
Ni kinyume actually, Arsenal ni VIBONDE wa Chelsea na Manure!
Sio kwakuwa Chelski na Manure ni vibonde wa Barcelona ndio mkafikiri na Arsenal hivyo hivyo,...!
Duuuh! Kwa kulialia tu mmebarikiwa, unalia na refa hata kabla ya mechi??! Au ndio excuse zimeanza?!! Subiri mechi ichezwe kwanza mkuu!So long as refa atachezesha fair, BRING 'EM ON!!!!
Ni kinyume actually, Arsenal ni VIBONDE wa Chelsea na Manure!
Duuuh! Kwa kulialia tu mmebarikiwa, unalia na refa hata kabla ya mechi??! Au ndio excuse zimeanza?!! Subiri mechi ichezwe kwanza mkuu!
"Together we stand maaazee!" 😀
Peasant tunaomba dua zako mkubwa,
tutawalipia kisasi alichowafanya yule Iniesta.
Kombe la Champions League nalo lije London mwaka huu!
Hahahahaha!! Kazi kwenu ndugu yangu! Sisi Mourinho karudi darajani kututoa nishai, tusubiri tuone Henry atafanya nini Imarati. Naona watu wengi waongea kuhusu Messi, lakini tatizo kubwa litakuwa jinsi ya kucheza against Xavi na Iniesta, hizi ndio injini za Barca. Wanajua kutafuta mpira mpira wakipoteza, na wakiupata wanajua kuanzisha mashambulizi vizuri. Itabidi Arsenal wawe wazuri sana katika kukaba, lakini wakifanya makosa kama wanavyofanya wakicheza na Chelsea na Manure, kazi itanguwa ngumu zaidi maana Barca ni wazuri wa "kaunta-ataki" na wana wafungaji wazuri. Hii mechi itakuwa the battle of the midfield, Y. Toure, Xavi & Iniesta vs Song, Fabregas & Diaby/Nasri. Kumbuka tu kwamba Xavi na Iniesta ndio wanamweka bench Fabregas kwenye national team. Good luck.
Tunaanzia EmiratiHivi imeshatangazwa kama tunaanzia kwetu au kwao?
Tatizo lako Mpemba u mbishi sana,hebu soma huyo Lionel Messi anasemaje hapa chini
Messi: Arsenal are like a South American team"...Arsenal are a team to consider because of their fantastic build-up play.
"They are like us at Barca in so many ways.
"Rather than being from London, they should be from South America. Andrei Arshavin and Cesc Fabregas are touch-players I love to watch."