Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wapigwe tu. Pwani tunasema KILICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA
Wapigwe tu kelele week hii hazitakuwepo ja jumatano wanakutana na man city aguero atajipigia tu hapo ndo watagundua morinyo ni garasa tu ameshajichokea
 
Wapigwe tu kelele week hii hazitakuwepo ja jumatano wanakutana na man city aguero atajipigia tu hapo ndo watagundua morinyo ni garasa tu ameshajichokea
Abromavich ana akili sana.
 



Arsenal haijawai kumaliza ligi na point 80+ tangu mwaka 2008. over 8 years.

Akizungumza katika Arsenal AGM, Meneja wa Arsenal mzee Wenger amesema premierleague title yaweza kuamuliwa kati ya pointi 82-86 msimu huu

Maneno ya babu hayo tusubiri tuone what next
 






AGM at The Gunners .... Ding .... ... Dong.
Wakuu wa Gunners na wote kwa ujumla, 2016 ndio hiyo inayoyoma all the best, tinachubiri HRC achukue madaraka kule USA. Wapeni pole Manure ooops khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…