Xhaka
Boss
Mustafi
Wakuu, habari za jioni naona Arsene Wenger ametaja kikosi kitakachongia dimbani kupambana na Ludogorets timu kutoka Bulgaria.
Kuna mabadiliko ambapo leo David Ospina, Kieran Gibbs, ALex Oxlade Chamberlain na Francis Coquelin ni miongoni mwa wale wanaoanza.
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mustafi, Koscielny, Gibbs; Cazorla, Coquelin; Walcott, Ozil, Oxlade-Chamberlain na Alexis Sanchez.
Kwenye bench: Cech, Gabriel, Monreal, Xhaka, Elneny, Iwobi, Lucas.
Ludogorets: Stoyanov, Moti, Minev, Palomino, Natanael, Wanderson, Anicet, Dyakov, Misidjan, Marcelinho, na mbele yupo Jonathan Cafu
Timu hii ya Ludogorets inatokea katika kitongoji kiitwacho Razgrad kilichopo nje kidogo mwa mji mkuu wa Sofia.
Nahodha wa timu anaitwa Svetoslav Dyakov ambae hapo juu amevaa viatu vya rangi ta bahari.
Ludogorets inamilikiwa na mfanyabiashara aitwae Kiril Domuschiev.
Jonathan Cafu ambae ni mbrazil ndiye mshambuliaji wao wa kutegemewa.