Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haaaa haaaa mpwa afadhali umekuja mapema nilitaka nikuulize ni msimu upi uli-bet na Inzi?

Misimu miwili iliyopita. Arsenal walikuwa wameingia S/F ya FA cup akaja hapa na bet zake kama hizi. Arsenal walipolibeba FA Cup ikabadilika kulibeza kuwa ni kombe la mbuzi, kunguni etc. Msimu uliofuata (last season) wamelibeba wakasahau waliyosema. Tangu SAF asitaafu baadhi ya hawa wapenzi wa Manchester United wamekuwa kama wauza mkaa,maandazi, wasusi uswahilini. Wanakalia vigoda, mikeka na kubeza wahangaikao kutafuta maisha. Manchester United ikigongwa na Liverpool na Chelsea utawasikia wakimfungisha virago the "Not my fault one" kabla hata hajamaliza mwaka.
 
rubaman weka hapa hiyo post niliyosema hivyo. Nakumbuka ulishasema hili na nikakwambia weka post ambayo nilisema hiyo bet kwamba Goobers wakichukua back to back FA titlea nitavaa jersey yao. Ukithibitisha nilisema hivyo, nitatimiza bet yangu, tena kwa kununua jersey ya Goobers, napiga nayo picha, kisha naitupilia mbali..
 
Unajua kutafuta hiyo post ni vigumu kama kutenganisha sukari na mchanga wa beach. Endapo JF wangekuwa na option ya kuweka memory za kufanya hivyo ingekuwa rahisi ku-revisit. Lakini ni kweli ulishasema hivyo.
 
Sasa nitajua kama ni kweli nilisema hivyo? Why should I trust your words bro?
Anyway, forget about it. Wanna bet again this year?
 
Mkuu, Arsenal watasajili ikifika January ili kuongeza nguvu mzee Wenger anataka kuondoka na rekodi.

Vipi mmejiandaa jumatatu?
08CF914E000005DC-3838505-image-a-20_1476461420619.jpg

Unakumbuka hili goli?
HAHAAA mkuu naikumbuka hyo diving header nadhani aliipokea cross toka kwa fletcher mbele ya jukwaa la stretford end vile vikongwe vikalia 2-1, na kesho tunavitumbua hivi walaa havinipi shida.
 
|Arsenal 3-2 Swansea..
Mambo 5 tulojifunza jana...
1:Swansea ni zile timu wazungu wanaziita ''Bogie teams'' kwa Arsenal...yaani ni kama zimwi likujualo vile.In short, ni timu ambayo inatusumbua sana.Kama ilivyo Stoke City.Msimu ulopita walitupiga 1-2 pale Emirates..

2:Mara zote mechi ya ligi baada ya International break ni balaa...wachezaji wengi huwa wanarudi wamechoka sana..jana,Sanchez hakuwa kwenye kiwango chake,Monreal alipwaya kidogo kama wingback wa kulia baada ya kupelekwa sana na Barrow(aliyechezewa rafu na Xhaka)

3:Walcot,alikuwa moto jana!So far,goli 5 ktk mech 8 za Premier league...Infact alitakiwa apige hata hat-trick au goli4 kabisa...akiendelea hivi atatufikisha mbali.

4.Ozil,the Birth day Boy...kwa sasa naona anaongeza magoli ktk game yake...na anapiga magoli 'magumu' haswa.Technically goli alilofunga jana na lile la dhidi ya Chelsea,ni wachezaji wachache sana wangeweza kufanya vile..jamaa anafanya mpira uonekane rahisi kidogo..

5.Xhaka-red card ya kwanza, na kusababisha goli...jamaa inabidi aongeze nidhamu..next time red card ambazo sii za lazima zitaikosesha timu point za maana sana.

6.Kwa sasa tuna kikosi kikubwa sana.Ukiangaliwa wachezaji ambao hawakucheza-Ramsey,Giroud,Lucas Perez,Jenkinson,Elneny,Gabriel utaona kwamba timu imeenea haswa-kumbuka almost wote hawa ni wachezaji wa timu zao za taifa...Infact inasemekana Wenger ameamua kuwapa Giroud na Ramsey full pre-season exercises iliwarudi form...that's bold !
.....
 
Nasubiri tuwapige manure nje ndani nazungumzia mourinho
 
Mwaka huu tuna timu nzuri wakiendelea kujituma na pia kuepuka majeruhi ya key players basi mwaka huu tuna nafasi nzuri ila Chelsea, Manchester City na Tottenham nao wazuri sana.

Arsenal wananipa raha sana..Tatizo wakianza kubadilika utashangaa wapo nafasi ya nne..
 
Mwaka huu tuna timu nzuri wakiendelea kujituma na pia kuepuka majeruhi ya key players basi mwaka huu tuna nafasi nzuri ila Chelsea, Manchester City na Tottenham nao wazuri sana.
Wenger hez bold and original at epl labda mourinho anae sua sua lakini wengine wote wajipange
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwaka huu tuna timu nzuri wakiendelea kujituma na pia kuepuka majeruhi ya key players basi mwaka huu tuna nafasi nzuri ila Chelsea, Manchester City na Tottenham nao wazuri sana.
Tupite sàlama Ile miezi ya gundu kwa ARSENAL miezi ya 12 1,2 hii ndo miezi migumu kwetu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli kabisa December na January ndiyo miezi mibaya sana kwa majeruhi kwetu. Tukivuka miezi hiyo tuko salama bila majeruhi ya key players na tuko katika nafasi ya kwanza au ya pili kwenye table basi lolote linaweza kutokea.

Back
Top Bottom