Morning@Gurners...!!!!,naombeni kufahamu kwanini Wenger hamchezeshi Lucas perez kama first eleven..???, je ni kiwango chake kidogo ukilinganixha na ukubwa wa timu au fans tutegemee nn hasa kutoka kwa huyu streiker...????
Wenger ni mzembe sana juu ya kuwapa nafas wachezaji wapya.. Tumeona kwa wengi kasoro wachache wenye bahat zao, na hii hajui tu, inashusha morali ya mchezaji.. Ila lucas alipata majeruhi hapa kati hata game ya juzi hakuwepo benchi kabsa ila naskia game ya swansea atakuwa available.
Sijawahi kua na amani nikicheza na Swanselona hawa jamaa kuna button yetu wanaijua tunapoificha mara nyingi wanaitumia kutusurubu hawaoni tabu kuchukua 6 Pts kwetu duh kesho ipo haja ya kuficha button ili tuangalie game zinazofuata kwa amani.