Ndio mashabiki tulivyo, ligi ndio imeanza tunataka kila mtu acheze. Juzi nikasoma wengine wamefurahi Me Coq kuumia ili Xhaka acheze, hatujui kuwa timu ikianza kuwa na majeruhi inaikosesha balance, matokeo yake utakuwa na wachezaji watano majeruhi na kupunguza competition
Nyie Goobers mna mihemko kama Juma Pumba Maharagwe!!!
Wanataka awe Eriksson.Naona FA ya Uingereza inakomaa na Wénger akafundishe national team.
Ila sijui kama hawaoni kuwa type ya wachezaji wa kiingereza alishawashindwa, yeye anaowaweza ni wafaransa na wa Spain, hivi karibuni kaibukia German.
Burnley tutampiga Mapema sanaKuna kijiji kaenda mganga anaitwa Stoke basi wanakijiji wanakamatana uchawi huko wenyewe kwa wenyewe,jiandaeni wamejipanga kuja huku kwa wingi incase tukipata msiba.
Let's close down the gap to the summit to 2points. Spurs wameshawafunga Man City, tukishinda leo tutajiweka nafasi nzuri kipindi hiki ligi inapoanza kuwa tamu.
Ingawa tuna ugonjwa wa kushindwa kupunguza gaps especially wengine wanapopoteza,Inshaallah leo isiwe kama jana.
Wanapigwa hao banleyOur squad against Burnley
All the best lads,we're Gooners ifanyeni kua j2 bora....COYG