Bado mapema mno kuona tutaishia wapi, kila mwaka twashindwa kummaliza ng'ombe, kale ka mkia kanatushinda, wengine tuko kimya tukiangalia na kuona tutafanikiwa au la, ila..... COYG

Hatutaki hata mmoja awe majeruhi, tunataka AW apate headache ya kuchagua kikosi bora kila mechi. Ukisema ni bora Le Coq awe majeruhi unakosea sana. We need all players fit kila mechi kiongozi.