Arsenal wamecheza mchezo wao wa kawaida na it paid off.
Chelsea wamecheza kupakia basi na kutaka kumtumia Diego Costa kufanya counter attacks.
Tusubiri kipindi cha pili je Chelsea watatoka eneo lao? Maana wamefungwa kwa kutumia mchezo wa kujihami.
Wakitoka sana ni karamu ya magoli kwa Arsenal.
Mkuu, Herrera upo?
Naona kama ndiyo umefufuka hivi.
Then celebrates scoring Arsenal’s second goal
Hahahaa haiwezi aiseee......natamani nikutumie picha uone nilivyo na furaha.
Naona kama ndiyo umefufuka hivi.
Hahahaaaa hapahapa natuma yaani....leo hata mtu anitie singi simfanyi lolote mana Man u imenifurahisha sana.Niambie unaituma wapi, nitafute kunako nikuone ulivyofurahia ushindi mnono wa Arsenal leo Ooops! MANU lol!.
Hahahaaaa hapahapa natuma yaani....leo hata mtu anitie singi simfanyi lolote mana Man u imenifurahisha sana.