McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Hahaaaa yani imebidi nianze kucheka mwenyewe. Dah kumbe nimechanganya jukwaa......
Nisameheni wote.......
Hahaaaa yani imebidi nianze kucheka mwenyewe. Dah kumbe nimechanganya jukwaa......
Nisameheni wote.......
Nikajua mpo nyumbani kwetu na fujo zenu. Loh kuja kugundua niko kwenu nikabidi nicheke tu.Mbona Jazba au we mshabiki wa Watford nn [emoji3]
Hapa nakuja kipindi cha matukio tu.Karibu sana, hapa pana wapenzi wa gunners wakiongozwa na generali McDonald Jr
Unamkumbuka generali Juma Mkambi weye?
😀
Asante bwana......@Everlenk sijui kabanwa na nini.Pole sana kwa msiba ila vumilia kila nyumba lazima itoe maiti ila naona marehemu umesusiwa umzike pekee ako yule Everlenk kaingia mapangoni jikaze wiki ijayo lazima ufiwe tena.
Hahahahaaa nisamehe bwana nilichanganya madesa.Mkuu unanihamisha jukwaa langu tukufu, nitake radhi mkuu.
Mimi ni gunners na hapa ndiyo maskani yetu ya kudumu.
lol
Asante bwana......@Everlenk sijui kabanwa na nini.
Sio kabira ile njoo ukuHapa nakuja kipindi cha matukio tu.
Kweli Watford kakuchanganya, hadi umeingia sebleni kwetu!!Hahahahaaa nisamehe bwana nilichanganya madesa.
Ah wapi siwezi kuja uku kamweeeee.Sio kabira ile njoo uku
Yaaani kipigo kile si kizuri.....anyway sababu msimu haujaisha matumaini bado yapo.Kweli Watford kakuchanganya, hadi umeingia sebleni kwetu!!
Hatari sana.Pale kwa jirani ni soo....
Hivi unafikiri mziki wa singeli uleMbona wale jamaa wa mtaa wa 7 hawatucheki kwa kurudi nafasi yetu ya 4?Au ni kwa vile tumecheza games 5 ?