Pamoja na kuwa Arsenal wanaongoza 2-0 lakini sipendi hii slow movement style wanayocheza. Wangekuwa wanacheza high pressing quick passes tungewafunga nyingi. Hii style huwezi kucheza na timu kama Manchester City, Man Utd. Liverpool walitupatia 4-3 kwa style hii hii, hawakutupa nafasi ya kupumua.
Yani inaboa sana kama wameridhikaPamoja na kuwa Arsenal wanaongoza 2-0 lakini sipendi hii slow movement style wanayocheza. Wangekuwa wanacheza high pressing quick passes tungewafunga nyingi. Hii style huwezi kucheza na timu kama Manchester City, Man Utd. Liverpool walitupatia 4-3 kwa style hii hii, hawakutupa nafasi ya kupumua.
Mzee anazingua sana sio siriNi vigumu kumaliza hii game without conceding a goal. Hii pace inaudhi sana, utadhani tunaangalia golf tournament.
Yani inaboa sana kama wameridhika
Hujamaliza second tayari ona ndo wanakua kama wametoka usingizini yaniMagoli 2 siyo ya kuridhika nayo. Wakifunga 1 watapata ari ya kutafuta la kusawazisha
Bora umeona umeshinda lakini mpira si mzuri yani.Hull 1-3 Arsenal
Bahati iko upande wetu pamoja na mpira mbovu.
Hahahaaa hata mashabiki nao wamesinzia.......hakuna mashamsham.Hujamaliza second tayari ona ndo wanakua kama wametoka usingizini yani
Yani inaboa sana kama wameridhika