kwanza leo liverpool anachezea kichapo kwa kuwa yule ni mteja wetu kama alivyokuwa chelsea
timu bora ni ile inayofungwa kila mara,naamini kabisa the gunner kuanzia januari hatutakamatika ni mwendo wa kichapo kwa kila timu itakayokumbana na sisi
mpaka sasa tuna pointi 9 kutoka kwa man utd, chelsea na wateja liverpool hizo tukijumlisha na ambazo tutazikusanya toka kwa vibonde wengine km bolton na wenzake naamini kabisa taji litatua EMIRATES kwa mara ya kwanza
mataji madogo kama vile fa,carling cup hayo sina nayo wasiwasi kwani tumeingia nayo ubiaaaaaaaaaaaa