Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Siku kama ya leo 2013 duh mzee AW alitenda jambo ambalo lilinipa furaha sana,ambao walisema haiwezekani wakatulizwa....my favourite player Ustaadh Özil karibu Arsenal.
 
barcelona
barcelon
barcelo
barce
barc
bar
ba
b
bo
bou
bour
bourn
bournm
bournmo
bournmou
bournmout
bournmouth
 
Ipo Malinzi amefanya watu wameacha kufuatilia habari za Taifa Stars
Huyu mtu sijui vipi aisee. Mtu huna aibu utakuwaje mkuu wa TFF na Mkoa wa Kagera at the same time? Conflict of interest ipo wazi. Wanaowa-vote in hawa vichwa ni kina nani at the fist place?
 
Huyu mtu sijui vipi aisee. Mtu huna aibu utakuwaje mkuu wa TFF na Mkoa wa Kagera at the same time? Conflict of interest ipo wazi. Wanaowa-vote in hawa vichwa ni kina nani at the fist place?
rubaman ebu kuwa na staha kidogo. Kweli unatuletea habari za ndondo humu...
 
Huyu mtu sijui vipi aisee. Mtu huna aibu utakuwaje mkuu wa TFF na Mkoa wa Kagera at the same time? Conflict of interest ipo wazi. Wanaowa-vote in hawa vichwa ni kina nani at the fist place?
Nilimaanisha Chama cha mpira mkoa wa Kagera.. samahani
 
Arsenal Legends leo jioni walicheza na Milan Glorie katika mchezo wa kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa Arsenal unaoitwa Arsenal Foundationambao ulichangisha kiasi cha pauni milioni 1.

Katika mechi hiyo Arsenal walishinda kwa magoli 4-2 na magoli matatu hart trick yalifungwa na Nwanko Kanu kiasi cha wapenzi wa Arsenal kutaka mshambuliaji huyo wa zamani asajiliwe badala ya Olivier Giroud.

Christian Vieri aliifungia Milan magoli yote mawili huku Robert Peres akifunga goli la nne kwa upande wa Arsenal Legends.


Martin Keown alikuwepo leo na kucheza nafasi yake ya beki wa kati pamoja na meneja msaidizi wa zamani wa Arsene Wenger Pat Rice.


Legends Emanuel Petit na Robert Pires wachezaji wa kiungo wa Arsenal Invisible.


Nwanko Kanu alikuwepo na aliwafurahisha sana wapenzi wa Arsenal kwa goli lake alilofunga leo.


Wachezaji wa zamani wa Arsenal Koro Toure, Marc Overmars na Nwanko Kanu.

Timu zilikuwa kama ifuatavyo:

Arsenal: David Seaman, Justine Hoyte, Koro Toure, Martin Keown, Nigel Winterburn, Ray Parlour, Emanuel Petit, Gilberto Silva, Marc Overmars, Robert Pires na Freddie Ljungberg.

Wachezaji wa akiba: Jens Lehmann, Paschal Cygan, Anders Limpar, Gilles Grimandi, Luis Boa Morte na Nwanko Kanu.

Timu ya Milan Glories: Christian Abbiati, Cafu, Alessandro Costacurta, Giuseppe Favalli, Paulo Serginho, Marcel Desailly, Massimo Ambrosini, Zvonimir Boban, Demetrio Albertini, Paulo Di Canio na Christian Vieri.

Wachezaji wa akiba: Dida, Paulo Maldini, Daniele Massaro, Marco Simone, Ibrahim Ba, Angelo Carbone, Dario Simic, Stefano Eranio na Giuseppe Pancaro

Timu ya Milan iliongozwa na meneja Fabio Capello na mwamuzi wa mchezo alikuwa ni Howard Webb

COYGs!!!
 
Daaah maisha mazuri Sana. Pat Rice alistaafu kufundisha kwasababu anaumwa Moyo, ajabu amepona lini hadi acheze mpira?

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Umu ndani patakua patamu babu akianza kufanya vizuri au tukifanikiwa walau hatua kubwa tofauti na tulivyozoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…