Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Poleni majirani lakini bado mapema mnaweza kukaa vizuri ila nawaelewa machungu mlionayo
Hasa Wengermaadui wetu arsenal ni watu watatu ambao ni wenger,gazids & kroenke
Henry was right sanchez hawez kucheza kama foward ila nyuma ya foward
Hapa ni #wengerOutHabar za hapa mkuu
Link ya?Tusaidie link
nimechemka kupata
Hii game inyoendeleaLink ya?
Bado tunapambana, usifikirie kupigwaMpaka sasa tumepigwa ngapi? wengine tupo porini.
Hahaaa asifikilie ama ndiyo hali halisi......ni kipigo tu.Bado tunapambana, usifikirie kupigwa