Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1471864895841.jpg
hapo ndio ujue watu wamechoka kuliko wewe
 
According to Mundo Deportivo, Arsenal are in pole position to sign James Rodriguez after Arsene Wenger gave his approval to a move that could cost us £51m this summer.
The general consensus is that Wenger is looking to bring in a centre-back and striker before the transfer window closes next week but we’ve struggled to get deals agreed for our key targets.
 
Mr. Bean Isn't serious!!!
 
Kuna habari njema kwa Arsenal kwamba katika siku mbili-tatu zijazo tunaweza kuona new signings. Striker na Defender. Habari nilizozipata kutoka kwenye klabu, maongezi ya kuwapata Perez na Mustafi yako pazuri. Let us wait and see.
 
Arsenal wanazungumza na Deportivo La Coruna kumsajili mshambuliaji Lucas Prez Martinez.

Ila Everton walikwishaanza mazungumzo na mchezaji huyo lakini Arsenal wameingia late ingawa kuna uwezekano mkubwa wa kumsajili Perez kutokana na Advantage ya Arsenal kucheza Champions League.
 
Usajili Updates: Arsenal wamsajili mshambuliaji Lucas Perez Martinez kutoka Deportivo La Coruna kwa pauni 20M

Alikuwa ana "release clause" ya pauni milioni 20 na Arsenal wamelipa fedha yote.

Arsenal mchana huu wameafikiana na Deportivo La Coruna na kukubaliana kumsajili mshambuliaji huyo.

lucas%20perez_630x348.jpg

Mjue Lucas Perez Martinez.

Ana umri wa miaka 27

Anachezea nafasi ya ushambuliaji.

Amezaliwa mji wa A Coruna na amechezea timu kadhaa za Spain na Russia za Rayo Vallecano, Dynamo Kiev na PAOK, kabla ya kuja Deportivo La Coruna mwaka 2015 akiwa na umri wa miaka 25.

Perez ameifungia magoli 24 timu yake ya Depor, katika mechi 58 za ligi alichocheza na alipokuwa Ugiriki katika mechi za Greek Football Cup mwaka 2014 alishinda kombe hilo na timu yake ya zamani ya PAOK.
 
14720758320907.jpg

Richard vp bro, za masiku tele....Hii Arsenal naona inaniumiza kichwa tu, huyu mchezaji sijui kama atatufaa ila kwa staili ya maelezo yako napata wasiwasi kwelikweli, data zake katika ligi na mechi alizocheza, idadi kubwa ya magoli yake kwa msimu, nk hujazielezea, wengine tunapata taabu kuanza kuangalia google au YOUTUBE zake, Wenger is good Coach but enough is enough.!!
 
Poa tu mkuu mimi nipo natathmini msimu wa timu yetu safari hii.

Ya, msimu wa 2015/2016 kwenye La Liga Perez alifunga magoli 17.

Huyu ndie mshambuliaji pekee wa Depor lakini wamemwachia tu kwa sababu ya kifedha.

Ila kwa kuwa Everton na timu zingine zilikuwa zikifukuzia, maskauti wa Arsenal nao walikuwa wakiwinda kwa mbali.

Ndio leo wakaamua ku-move for a kill walipoona Everton wanasita kwenda zaidi ya 17M, hivyo kwa kiasi Fulani hii ni bargain kuzingatia umri wake.

Kwa kuwa Giroud yupo, Walcott na baadae Welbeck akipona, angalau Wenger atakuwa na options na pia Perez ataleta copetition baina yao.

Hivyo is fair to say ni good move ingawa sio ya zaidi ya 30M au 40M

Wenger anatufundisha economics yaani unakaa mpaka mwisho wa mnada, lol
 
Kuna habari njema kwa Arsenal kwamba katika siku mbili-tatu zijazo tunaweza kuona new signings. Striker na Defender. Habari nilizozipata kutoka kwenye klabu, maongezi ya kuwapata Perez na Mustafi yako pazuri. Let us wait and see.
Mustafi gani kaka wengine tuna stres usiongeze zaidi
 
Inabidi kucheza Kuna blog ya mashabiki wa arsenal UK inasema jinsi usajiri inayoendelea mashabiki wa arsenal inabidi kujikausha. Hiyo issue ya Perez kwa kadri ya day mail arsenal wanataka kulipa release clause kwa 2 installments na ni 16.9 pounds
 
Back
Top Bottom